- 1:23
Zuchu Love ft Adenkule Gold - Uchambuzi
Zuchu
Lyrics
Baada ya ujio wa 4:4:2 kutoka kwa Zuchu ambao ujio huo ulihusishwa Jaro pamoja na Fire hatimaje Septemba 30 mshindi huyu wa tuzo za AFRIMMA akaamua tena kuachia wimbo wa LOVE ambao amemshirikisha nyota kutokea Nigeria Adekunle Gold ukiwa ni wimbo wake wa nne kwa mwaka huu.Kutokea Nigeria hii siyo mara ya kwanza kwa Zuchu kumshirikisha msanii kutokea nchi hiyo baada ya mwaka 2020 alipofanya kolabo na Joeboy ikiwa ni moja kati ya ngoma zilizo muongezea mashabiki kipindi alipokuwa akiendelea kujitafuta.
Licha kuzoeleka kupita kati njia za Baibuda pamoja na Bongo Fleva ikiwa ndiyo mitindo ya muziki iliyomtambulisha katika kiwanda cha muziki lakini Bibie Zuhura katika ngoma hii ametupitisha katika nja za Afropop na kutuhamisha mpaka huko Magharibi mwa Afrika.
View more
More songs by Zuchu
Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.
By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.
Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.