• Stream Zuchu - Jaro Zuchu - Uchambuzi

    Jaro Zuchu - Uchambuzi

    Zuchu

    1:32

Lyrics

Jaro Zuchu Review & and Lyrics - Uchambuzi

Baada ya kionjo cha wimbo wa Jaro kutoka kwa mwanamuziki Zuchu kuteka masikio ya wapenzi wa muziki mara baada ya kuuimba katika siku ya Afrika iliyofanyika nchini Nigeria, hatimaye ujio wa 4:4:2 uliounganisha wimbo huo wa Jaro pamoja na Fire ulituliza hamu ya mashabiki baada ya kuachiliwa Julai mosi.

Katika wimbo huo wa Jaro msanii huyo wa kike mwenye asili ya Zanzibar alibeba umakini wa mashabiki mara baada ya kionjo hicho kuanza kupendwa hata kabla ya wimbo wenyewe kuachiwa rasmi na hivyo kuwafanya mashabiki mashabiki waanze kuutumia katika video mbalimbali katika mitandao ya kijamii kama vile ‘Snapchat’ na hata’ Ticktok’
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up