- 1:42
Kwikwi Zuchu - Uchambuzi
Zuchu
Lyrics
Ukipita katika miji mbalimbali ya Tanzania masikio yako lazima yagongane na muziki wa nyimbo za wasanii mbalimbali. Lakini huwezi maliza siku yako bila kuusikia au kuusikiliza wimbo za Kwikwi kutoka kwa malkia wa lebo ya WCB Wasafi Zuchu ambao wimbo huu ni wimbo wake wa tano kuuachia kwa mwaka huu.Kwikwi ni wimbo ambao msanii huyo ambaye pia ni balozi wa makampuni mbalimbali alifanikiwa kuuachia siku chache tu baada ya kuutoa wimbo wa Love ambao alimshirikisha nyota wa muziki kutokea Nigeria Adekunle Gold mwezi Octoba.
Neno kwikwi ni neno la Kiswahili likiwa na maana ya mshtuko aupatao mtu wakati wa upumuaji ambao mara nyingi husababishwa na kutokunywa maji. Zuchu katika wimbo huo ameeleza mambo mbalimbali katika mahusiano yake na pia kuonesha kuyapenda kwa kuorodhesha vitu mbaimbali anavyovifurahia katika mahusiano hayo. Msanii huyo akaenda mbali zaidi na kusema ya kuwa kama penzi lake hilo lingetokomea atapata ‘Kwikwi’ ambayo itakuwa moja kati ya uthibitisho wa yeye kuumizwa.
View more
More songs by Zuchu
- Siji (Review)1:16
- Fire Zuchu - Uchambuzi1:46
- Zuchu Mtasubiri ft diamond1:39
- Zuchu Love ft Adenkule Gold - Uchambuzi1:23
- Honey (Review)0:33
- Zuchu - Utaniua Review1:12
- Jaro Zuchu - Uchambuzi1:32
- Zawadi ft Dadiposlim (Review)1:32
- Naringa (Review)1:20
- Chapati (Review)1:27
- Nani Remix Ft. Innoss'B - Mdundo Podcast0:49
Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.
By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.
Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.