• Stream Barnaba - Hadithi Barnaba ft Diamond Platnumz - Uchambuzi

    Hadithi Barnaba ft Diamond Platnumz - Uchambuzi

    Barnaba

    1:35

Lyrics

Hadithi Barnaba ft Diamond Platnumz Lyrics & Review

Moja kati ya nyimbo zake kali alizoziorodhesha katika album yake ya Love Sounds Different ni Hadithi ambao Barnaba Classic amemshirikisha nyota kutokea WCB Diamond Platnumz ukiwa ni wimbo namba moja kwenye Albam yenye jumla ya nyimbo 18.

Hadithi ni wimbo ambao umetumia mtindo wa Bongo Fleva ukiwa moja kati ya mitindo ambayo inatambulisha muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania. Mara nyingi Barnaba huutumia mtindo huu na hata katika Albamu yake ya Love sounds Different Bongo Fleva ni mtindo uliopata nafasi zaidi na kufanya uhai wa mtindo huu kuendelea kuwepo.
View more

Mdundo.com is one of Africa's leading music services! The company aims to provide Africa with easy and legal access to online entertainment and reach millions of people across Africa every month. Mdundo enables artists to keep track of fans, downloads and royalties paid in July and January every year.

By downloading MP3 music from Mdundo.com YOU become part of supporting African artists! You can get the latest music, top mixes and your favorite playlists from top artists across Africa. Mdundo also gives you easy access to the hottest podcast, sports and religious content.

Mdundo is also working with top partners across Africa including Vodacom, MTN, Airtel, Safaricom, Universal Music, Warner Music, Opera and many more to make music accessible for all. Mdundo.com A/S is a publicly listed company and Nasdaq First North Growth Market in Copenhagen, Denmark.

I am a musician! - Log in or Sign up