Lyrics

[VERSE 1] Kuliko unipende, alafu kesho ukanichukia Bora nikuwepo utakuwa umenisaidia Najua mengi umeshasikia na uwongo pia ila sijali sasa hivi Nachotaka ni kuskia ukisema
[CHORUS] Heee... Sema sema hee.. yeah Sema heee... sema hee! Let’s go to the.... sema sema sema Hee! Hee! Hee! Heee!
[VERSE 2] Siku nzuri asubuhi kumekucha Ndo nakumbuka kwamba leo na-** kitanuka Beiby nae kachacharuka Kakuta text za madem wanataka kuinuka Home kikanuka suu Nisisindwe ku solvu Nikakumbuka tu kusema am sorry Nikamvuta njoo , hapo nabukta soo Kutoka nnje ka nimeshikwa ukooni
[CHORUS] Heee... Heee! Noma Kweli Heee... Heee! Let’s go, twende Hee! Hee! Hee! Heee! Hee! Hee! Hee! Heee! [VERSE 3] Tumekaa siku ya pili Baada ya moja mbili Nikaona dalili Tutaanza kimwili Sikusubiri nikaona bora kujitenga Uoga nao akili Nikaona bora kujitenga MARA hiki, mara kile mara kiki, mara zile Za kufanya mimi nisile Niko hivi kisa ni wewee Aaah! Sio kifo mpaka milele Niko na wewe kuliko unipende, after show ukanichukia Bora nikuwepo utakuwa umenisaidia Najua mengi umesikia na uwongo pia Ila sai nachotaka ni kuskia ukisema Eeeehhh… sema sema Noma kweli Eeeehhh… sema ... eeh! Let’s go to the... twende (hee! hee! Hee! Hee!
View more
Get Mdundo android app

Leave your comment

Download music from your favorite artists for free with Mdundo. Mdundo started in collaboration with some of Africa's best artists. By downloading music from Mdundo YOU become a part of supporting African artists!!! Mdundo is financially backed by 88mph - in partnership with Google for entrepreneurs.

Mdundo is kicking music into the stratosphere by taking the side of the artist. Other mobile music services keep 85-90% of sales. What?!, Yes, the majority of the cash lands in the pockets of big telcos. Mdundo enables you to keep track of your fans and we split any revenue generated from the site fairly with the artists.

I am a musician! - Log in or Sign up