TANZANIA:(Video) Diamond abaki na 'Boxer' kuhofia kumwagiwa maji katika siku yake ya kuzaliwa..
3 October 2016

Jumamosi hii ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya staa wa muziki, Diamond Platnumz ikiwa ni wiki moja toka atoke visiwani Zanzibar kusherekea birthday ya mama watoto wake, Zari.
Muimbaji huyo alikata keki mbele ya wasanii wake wa WCB huku akiwaacha midomo wazi mashabiki wake wa kwenye mitandao jamii kwa kitendo cha kusherekea birthday hiyo huku akiwa na nguo ya ndani ‘boxer’ akidai alikuwa anaogopa kumwagiwa maji.

Pia mastaa mbalimbali walimtumia salamu za heri na baraka staa huyo anayefanya vizuri na wimbo ‘Salome’.
Rich Mavoko
Happy Birthday Big Nna Zawadi Yako Ya Gari Lakini La Udongo




Leave your comment