TANZANIA: Mama na dada wa Diamond wamuwish Wema Sepetu siku yake ya kuzaliwa

 

 

 

Mama mzazi wa Diamond, Bi Kendra pamoja na mdogo wake Esma Platnumz wamemuwishi ex- wa Diamond Wema Sepetu katika siku yake ya kuzaliwa. Kupitia mtandao wa Instagram Mama wa Diamond pamoja na dada wa Diamond wameonyesha kumpost Wema na kuandika:

Mama Diamond:

 

Esma Platnumz:

 

Ule uvumi unaosemekana kwamba Zari hapatani na ndugu wa Diamond, unazidi kujidhihirisha  kwani siku chache  tu zilizopita ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya mchumba wa Diamond, Zari na ndugu wa Diamond kutokujali.

Minong’ono inadai kuwa Zari hakubaliki ukweni kutokana na kupenda maisha ya kizungu, kutawala mipango ya Diamond na huenda ndio chanzo cha Bi Sandra kuondoka Madale, nyumbani kwa staa huyo.

 

 

 

Pamoja na Zari kutokubalika ukweni, Diamond haoneshi kushtushwa na hali hiyo kwakuwa hivi karibuni alimzawadia nyumba yenye thamani ya shilingi milioni 396 ya Afrika Kusini pamoja na kumpeleka visiwani Zanzibar kusherehekea birthday yake.

Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz

Leave your comment