TANZANIA: (Picha) Birthday ya Zari yafanyika visiwani Zanzibar

 

 

 

Mpenzi wa msanii nguli nchini Tanzania Naseeba Abdul “Diaond”, Zarina Hassan “Zari” asherehekea siku yake ya kuzaliwa akiwa katika visiwa vya Zanzibar. Sherehe hiyo ilihudhuriwa na watu wao wa karibu akiwemo Mose Iyobo pamoja na Auntie Ezekiel.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz

Leave your comment