TANZANIA:Interview yamfanya Vanessa avume nchini Kenya

 

Staa huyo alikuwa kwenye interview ya kipindi maarufu cha Citizen TV ya Kenya, 10 over 10. Unaweza kuitazama interview hiyo hapa chini:

 

Interview yake ilikuwa na nguvu kiasi cha kufanya jina lake liwe trending topic usiku mzima wa Ijumaa hii nchini Kenya.

 

Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz

Leave your comment