TANZANIA: (Picha) : Wema Sepetu, Alikiba na Ommy Dimpoz wajitokeza kumsapoti Christian Bella
6 June 2016

Msanii Christian Bella siku ya tarehe 4.06.2016 katika viwanja vya Escape One vilivyopo maeneo ya Mikocheni jijini Dar Es Salaam, msanii huyo alikuwa na sherehe ya kutimiza miaka 10 tangu aanze kuingia kwenye game mnamo mwaka 2006.
Katika sherehe hiyo kulihudhuriwa na mastaa wa bongo kama vile Wema Sepetu, Alikiba, Ommy Dimpoz pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Mh. Paul Makonda.

AliKiba

Ommy Dimpoz

Wema Sepetu

Linah Sanga

Linah Sanga akitumbuiza

Mashabiki wa Christian Bella

Alice Kella

Dully Sykes

Gardner G. Habash

Baraka Da Prince

Mh. Paul Makonda

Maua Sama
Unaweza kutazama sherehe hiyo hapa:
Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz




Leave your comment