pemama boy apata skendo chafu

Msanii chipkizi maarufu kama *PEMAMA BOY*apata skendo chafu inayo..
Mhusisha yeye na msanii nguli wa Zenji maarufu kama BABY J imetokea uvumi kuwa anataka kumumiliki msanii huyo kwa UDI na uvumba huku akielekeza kuwa ndiye mwanamke wa ndoto zake,alpoulzwa kuhusu umri wake na msanii huyo ..akadai kuwa mapenzi hayachangui umri,ndini wala kabila.,japo hatukuweza kupata maneno ya msanii baby j yeye kwa upande wake anasemaje kuhusu huu uvumi...itaendelea..

Leave your comment