TANZANIA: Kifo cha Papa Wemba chazua utata
27 April 2016

Taarifa kutoka katika kituo cha habari cha Kinshasa Makambo kinasema kuwa inawezekana Papa Wemba msanii mkongwe wa muziki wa dansi amefariki mara baada ya kuwekewa sumu kwenye mic aliyokuwa akiitumia.. Tetesi hizo ziliendelea na kupitia video iliyoonyeshwa na kituo hiko kinaonyesha kijana mmoja ambaye jina lake halikutambulika mara moja akiwa jukwaani na kubadili mic aliyokuwa akiitumia msanii huyo na mara baada ya Papa Wemba kuitumia mic hiyo alianguka chini. Na baada ya msanii huyo kuanguka chini inamuonyesha kijana huyohuyo akirudi na kuichukua ile mic.
Unaweza kuitazama video hiyo hapa:




Leave your comment