TANZANIA; ‘Mzigo wa nguo zangu uliisha ndani ya masaa 24’ - Jux
19 March 2016

Muimbaji wa nyimbo ya ‘Am looking for u’ Jux amedai kwamba mzigo wa kwanza wa nguo zake uliisha ndani ya masaa 24. Akizungumza katika kipindi cha The Sporah Show, Jux amedai mwanzoni aalitengeneza t-shirt 200 tu kusoma mchezo kwanza lakini alishangaa zikiisha katika muda mfupi sana. Alisema t-shirt zinabei kidogo kuanzia 35,000 lakini baada ya kununuliwa na kumaliza katika muda huo alipata moyo wakufanya mambo makubwa zaidi.




Leave your comment