TANZANIA: Nay atoa makavu kwa wasanii kupitia clip ya Diamond
15 March 2016
Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika mara baada ya Diamond Platnumz kuposti kipande cha video ya onesho lake akiwa nchini Marekanii.
“Hii ni show ya @diamondplatnumz nje ya Tanzania uko Marekanni. Haya na nyie wasanii wengine mnaopost tu mkiwa kwenye ndege na airport off to Uk, off to Dubai, off to New Yory Nk. Muwe mnapost na nyie show zenu sio mnatupigia kelele tu umu kwenye mitandao maana sijui mnaendaga kufanya nini huko nje.
!! Acha mi nipige zile zangu za Chaka to Chaka kwa Swahili wenzangu.!! Na nitawapostia umu.!! Tukutane kwenye mafanikio. Pumbufuuu Shikeni Adabu Zenu. Saa msanii akipost tu off to South Afrika mwambieni kesho yake apost na ilivyokua, sio unashtukia tu going back home.!! #ShikaAdabuYako.






Leave your comment