Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
TANZANIA: “Huwa Nakuwa Makini Na Nifanyacho Sababu Kuna Watu Wanajifunza Kwetu ” – MATONYA
14 March 2016

Matonya amesema kama msanii anajua ana ushawishi mkubwa kwa jamii kwahiyo hujitahidi kufanya mambo mema ambayo hayataharibu jamii inayomzunguka na wale wanaojifunza kwake.
Matonya amesema hata sehemu anapoishi anahakikisha anaishi vizuri na watu ili waweze kumwambia pale anapokosea na kumpongeza pale anapofanya poa. Matonya Aliongezea Kuwa anajua wasanii wanapendwa sana na ushawishi walionao unaweza kuibadilisha jamii, mfano, kuna saa aliyoivaa kwenye video ya #Vaileti ambayo baadae zile Saa zilianza kuitwa vaileti mtaani. Msanii mwingine wa Dance Tanzania #Alichoki aliwahi kuvaa viatu ambavyo tangu hapo vilipachikwa jina lake na vikawa maarufu sana.
Chanzo: Msetoea.com
Weekly Top 10 songs

Black Mark utandilubi omwami wangu5:21
KAPEKE LONDON2:23
In My Bed2:50
Paver2:55
CHAMPION GAL3:00
Ex Nkubilako ft DonMusa2:55
BIkola2:58
The Prelude of Grace1:31
Joy Is Coming3:08
Worship My King5:00
Top stories
- Excellent Jesus
26 May
- Trending song
24 May
- ICE PRINCESS SONGS
24 May


Leave your comment