TANZANIA: Harmonize atoa nyimbo mpyaa… Ft Diamond Platnumz

 

Msanii anaekuja kwa kasi ya hali ya juu kutoka kwenye kundi la WCB (Wasafi Classic Baby) Harmonize ametoa kibao chake kipya leo hii tar 29 februari kupitia kituo cha habari cha Clods Fm.

Mwanamuziki huyo aliyetamba na nyimbo ya Aiyola katika nyimbo hii mpya itwayo “Bado” amemshirikisha mkali wa nyimbo za bongo fleva Diamond Platnumz ambaye pia ni boss wake. Nyimbo imetayarishwa na Flaga na Laizer kutokea lebo ya WCB.

Unaweza kusikiliza nyimbo hii hapa:

Leave your comment