TANZANIA: Kiba asema hawezi kuimba nyimbo za kumkosea heshima mama yake!
18 February 2016

Staa wa muziki Ali Kiba amesema hawezi kuimba wimbo utakaomkosea heshima mama yake. Ikiwa mama yake ni kati ya mashabiki wake wakubwa na namba moja hivyo kamwe hawezi kuimba nyimbo zenye matusi ndani yake.

Msanii huyo ambaye aliachia video mpya ya ‘Lupela’ hivi karibuni, amesema kuwa tayari mashabiki wake ambao wanajua anaimba muziki wa aina gani hivyo hawezi kuwaangusha.

“Toka nimeanza kufanya muziki mama yangu anausikiliza, yaani hata kama nimetoka kurekodi studio nikawa nasikiliza nyumbani, utasikia baadae anauimba”, alisema Ali Kiba.

“Kwahiyo wakati natafuta njia ya kutoka mama yangu alikuwa anazijua nyimbo zangu zote. Lakini haniambii, najua anafurahia muziki wangu, ni kitu kinachonifanya niimbe nyimbo ambazo kila mmoja anaweza sikiliza, kwasababu siwezi kuimba nyimbo ambazo zitamkosea heshima mama yangu kwasababu ni fan namba moja, hamna matusi wala nini”, aliongeza Ali Kiba.

Source: Bongo 5

Leave your comment