TANZANIA: Idriss amtetea mpenzi wake Wema, baada ya kuambiwa anamuharibu..
18 February 2016

Ukiktaka kukosana na Idriss Sultan, mtukane au mseme vibaya kipenzi chake Wema Sepetu.
Mshindi huyo wa Big Brother 2014, alikasirishwa na moja ya comment ya mtu katika ukurasa wa Instagram, iliyokuwa ikidai kuwa Wema anampoteza.
Soma hapa comment hiyo pamoja na jibu alilotoa Idriss;

Na kisha Idriss akajibu kwa kuandika hivi;

Idriss alishindwa kuivumilia comment hiyo na kumjibu mtu aliyecomment kuhusu kipenzi chake Wema, na kudai kama kinachosemwa ikiwa ni kweli ama uwongo yeye ndo anayetakiwa kuwa muamuzi wa mwisho kuhusu suala hilo.




Leave your comment