Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
TANZANIA: Sina dharau wala sijidai kama watu wanvyodai – Ali Kiba
15 February 2016

Staa wa muziki Ali Kiba amesema kwamba hana dharau wala hajidai kama watu wanavyodai.

Mwanamuziki huyo ambaye ameachia video mpya ya wimbo wa ‘Lupela’ hivi karibuni, akiongea na tovuti ya Bongo5 kuwa yeye sio mtu wa dharau na kujidai.

“Watu ambao wananifahamu wanajua Ali ni mtu wa kawaida sana”, alisema.

“Leo nikifanyiwa interview nimesikia dada mmoja akisema eti nikisalimiwa siitikii, labda sijawasikia. Mimi bwana siigizi always nakwambia ukweli. Mimi sio mtu nimekuona alafu nisikusalimie, ikitokea hivyo labda sijakuona au mimi si binadamu bhana labda nimekwazwa au nimeamka vibaya lakini sio lengo langu. Sina vitu kama hivyo na sifikirii kuwa na vitu kama hivyo, lakini mimi sipo hivyo”, alisema Ali Kiba.

Source:Bongo 5

Weekly Top 10 songs

Black Mark utandilubi omwami wangu5:21
KAPEKE LONDON2:23
In My Bed2:50
Paver2:55
CHAMPION GAL3:00
Ex Nkubilako ft DonMusa2:55
BIkola2:58
The Prelude of Grace1:31
Joy Is Coming3:08
Worship My King5:00
Top stories
- Excellent Jesus
26 May
- Anthem
25 May

Leave your comment