TANZANIA: Diamond kuachia video mpya Ijumaa hii akiwa na AKA!
10 February 2016

Msanii Diamond Platnumz anatarajia kuachia video mpya wiki hii.
Mwanamuziki huyo ametoa taarifa hiyo kupitia ukurasa wake wa Twitter;

Msanii huyo pia ameshare katika ukurasa wake wa Instagram kuhusu video mpya anayotarajia kuitoa akiwa na AKA wa Afrika Kusini, ambapo video ikiwa imefanyika mwaka jana mwishoni Afrika Kusini. Ndani ya ujumbe huo amesema dhamira yake mwaka huu ni kuhakikisha muziki wa Tanzania unapata nafasi nzuri Afrika Kusini na Marekani.
Pia amesisitiza kwa kuwaomba wananchi yaani mashabiki wasichoke kumpa support katika kufanikisha suala hilo kwa kumpa support katika kazi zake.





Leave your comment