TANZANIA:New Video ya Ali Kiba 'Lupela'

Lupela ni wimbo mpya yakwake msanii Ali Kiba, ameachia video na audio Alhamis ya wiki iliyopita. Msanii huyo amabye ni balozi wa Wild Aid ameshirikiana na taasisi hiyo pamoja na label yake ya muziki ikiwa na uongozi wake wa muziki kutoa video hiyo. Bila kusahau kampuni ya 'ROCKSTA4000' na 'Rockstar Publishing', kupitia Lupela wanahamasisha kupenda na kutunza Tembo na kupinga ujangili.

Video imeongozwa na Kevin Donovan, na imefanyika jijini Los Angeles huko Marekani.

Tazama video hiyo hapa;

 

Leave your comment

Top stories