TANZANIA: TBT Umesikia hii Diamond alivoucheza ‘Mwana’ ya Ali Kiba

 

Kwa muda mrefu mtaani imekuwa ikisemekana wasanii, Diamond na Ali Kiba kuwa katika bifu. Lakini cha kushangaza ni pale Diamond Platnumz alipoucheza wimbo wa ‘Mwana’ wa Ali Kiba.

Akihojiwa katika kipindi cha Maskani cha E FM januari 6, Ali Kiba alisema yeye na Diamond hawana bifu lolote na endapo ikitokea kolabo kati yao hatokataa kufanya.

Ali Kiba amesema kila mmoja anaukubali muziki wa mwenzie na siyo vibaya kwa wao kufanya kolabo.

Siliza interview yake nzima hapa;

Leave your comment