TANZANIA: Ali Kiba kuachia video ya Lupela Februari 4!
1 February 2016

Video hiyo ilifanyika jijini Los Angeles, Marekani mwaka jana.
Msanii Ali Kiba kuachia rasmi video ya wimbo wake ilokuwa ikisubiriwa kwa hamu ya ‘Lupela’ Februari 4.

Kwa mujibu wa staa huyo, video hiyo ni sehemu ya mradi wa Wild Aid ambao yeye ni mmoja wa mabalozi.

Haijajulikana kama wimbo huo unahusiana moja kwa moja na kampeni hiyo lakini clip fupi alizopost kwenye mitandao ya kijamii zinaonesha kuwa wimbo wenye ujumbe wa kawaida.

Mrembo atakayeonekana kwenye video hiyo, Aliya Janell
Hiyo inakuwa kazi ya peke yake tangu Chekecha Cheketua.




Leave your comment