TANZANIA: Mfalme wa Lingala kutengeneza album na Christian Bella wa TZ
29 January 2016

Mwanamuziki mkongwe wa nyimbo za Lingala kutoka Jamhuri ya demokrasia Kongo, Koffi Olomide anatarajia kufanya album ya lugha ya Kiswahili akishirikiana na msanii wa Christian Bella.
Wasanii hao wana wimbo mmoja waliofanya kolabo na ulitoka mwezi wa 12, 2015 uitwao ‘Acha Kabisa’ na kuamua kusonga mbele zaidi kutengeneza album.
Source: Standard Digital




Leave your comment