EXCLUSIVE (TANZANIA) – Diamond aongoza kwa followers Instagram kwa wasanii wa Afrika!
29 December 2015

Msanii Diamond Platnumz ni msanii ambaye anaongoza kwa kupata tuzo kubwa zaidi kwa Afrika mwaka huu (MTV EMA – Best World Wide Act: Africa/India), si hilo tu bali pia ni msanii anayeongoza kwa followers wengi zaidi kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram kwa wasanii waishio Afrika.
Ambapo hapo awali nafasi hiyo ilikuwa ikishikiliwa na msanii Davido (Nigeria).
Pia katika orodha ya mastaa wa Afrika waliofikisha followers milioni 1 imeongozwa na Watanzania.
Orodha kamili kwa mujibu wa namba za tarehe 29.12.2015;
- Diamond Platnumz 1,502,578
- Davido 1,498,823
- Wizkid 1,362,760
- Wema Sepetu 1,213,798
- Millard Ayo 1,165,390
- Don Jazzy 1,154,318
- Jokate Mwegelo 1,098,848
- Jacqueline Wolper 1,085,781
- Zarithebosslady 1,084,842
- Vanessa Mdee 1,061,682




Leave your comment