NEW SONG (TANZANIA) – MB Dog – Sio Siri
17 December 2015

Msanii MB Dog aliyekuwa kimya kwa muda mrefu, hivi karibuni amesema ameandaa nyimbo mbili na kati ya hizo leo hii tumekuletea mojawapo inayoitwa ‘Sio Siri’.
MB Dog aliwahi kuhit na single kama ‘Latifah’, ‘Mapenzi Kitu Gani’ na ‘Ina Maana’ na nyingine nyingi zilizomueka katika headline na kuzungumziwa kila mara.
Kwa sasa anasimamiwa na kampuni ya QS J Mahonda, wakati hako nyuma alikuwa chini ya usimamizi wa Tip Top Connection.
Sikiliza wimbo huo hapa;




Leave your comment