EXCLUSIVE (TANZANIA) – Mafikizolo na Diamond Platnumz waanza kushoot Video yao mpya, Millen Magese nae kuonekana! (Picha)

 

Mafikizolo kutoka Afrika Kusini wameanza kushoot video mpya ya Single yao waliyomshirikisha Diamond Platnumz (Tanzania).

Safari hii kundi hilo la Mafikizolo limeamua kushoot na Supermode kutokea Tanzania Millen Magese, amabye ataonekana katika video hiyo iliyotayarishwa huko Johannersburg, Afrika Kusini.

Hizi ni baadhi ya Picha zikionesha Mafikizolo, Diamond Platnumz na Supermodel Millen Magese wakiwa katika maandalizi ya video hiyo mpya iliyopewa jina la Colour Of Africa.

SuperModel Millen Magese (Kushoto) akiwa na mrembo anayefahamika kwa jina la Babalwa Mneno (Kulia)

Kulia ni Millen Magese, akifuatiwa na Nhalanhla na Diamond Platnumz pamoja na Babalwa Mneno.

Leave your comment

Top stories