EXCLUSIVE (TANZANIA) – Video ya “Asanteni kwa Kuja” ya FA kuja na version mbili (Safi na Chafu)

 

Msanii Mwanafa ambaye ameachia wimbo wake mpya ‘Asanteni kwa Kuja’uliyotengenezwa na Hermy B. Tayari amekabidhiwa video ya wimbo huo, lakini hawezi kuitoa kama ilivyo kutokana na jinsi ilivyo.

Akiongea katika kipindi cha XXL cha Clouds FM, FA amesema kwa sasa muongozaji wa video hiyo iliyofanyika Afrika Kusini anatengeneza video safi itakayoendana na matakwa ya TV za Tanzania.

Amesema video hiyo itakuwa na version mbili, chafu na safi. Hata hivyo hakutaja ni lini video hiyo itatoka.

Sikiliza audio ya wimbo huo hapa;

Leave your comment

Top stories