NEW VIDEO (TANZANIA) – Tazama Nimebadilika - Thomas
14 December 2015

Leo tunakuletea wimbo mpya toka kwa msanii mpya ndani ya muziki wa Bongo Fleva anayeitwa Thomas kutokea Rocky City Mwanza. Ambapo ameachia rasmi video ya kazi yake ya kwanza ‘Nimebadilika’.
Video imefanywa na Man Rasheed na Khalfani na wimbo umetayarishwa na Producer Nasder. Mozeh yupo chini ya Swedeka Production ya jijini Dar es salaam.
Tazama video hapa;




Leave your comment