Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
EXCLUSIVE (TANZANIA) – Nafunga milango kusaidia wasanii wachanga – Dully Sykes
11 December 2015

Msanii Dully Sykes amesema amefunga mlango wa kuwasaidia wasanii wachanga kwasababu aliowasaidia bado hawajamrudishia fadhila.
Mwanamuziki huyo aliyeachia wimbo mpya hivi karibuni wa ‘Tuachie’ akiwa na Yamoto Band amekiambia kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds Tv kuwa hatakuwa tena na muda wa kuwasaidia bali anachokitaka ni pesa.
“Upcoming artist siwahitaji tena kwenye studio yangu”, alisema. “Mimi nahitaji aje alipe na bei yangu ni ile ile. Nimesaidia wengi mpaka leo wanapata pesa zao na hawanikumbuki hata kusema yule bro sisi yumetoka kwake tumpe hata 20,000 akanunue nyanya. Kwahiyo mimi sihitaji kusaidia mtu. Na wasanii wangu ambao ni hao hao nafikiria nitafanya nao kazi”, alisisitiza Dully.
Ambapo alimtaja msanii Diamond ni kati ya wasanii wachache waliorudisha fadhila.
Weekly Top 10 songs

Black Mark utandilubi omwami wangu5:21
KAPEKE LONDON2:23
In My Bed2:50
Paver2:55
CHAMPION GAL3:00
Ex Nkubilako ft DonMusa2:55
BIkola2:58
The Prelude of Grace1:31
Joy Is Coming3:08
Worship My King5:00
Top stories
- Excellent Jesus
26 May
- Angel Prince Biography
27 May
- Grateful
25 May


Leave your comment