NEW VIDEO (TANZANIA) – Jux-One More Night

 

 

 

Msanii Juma ‘Jux’ hivi karibuni ameachia audio ya wimbo wake mpya unaoitwa ‘One More Night’, ambapo kufikia jumanne ya wiki hii ameitambulisha video ya wimbo huo kwenye chaneli ya kimataifa ya MTV Base.

‘One More Night’ umetayarishwa na Nahreel wa The Industry, huku video ikiwa imeongozwa na Justine Campos wa Afrika Kusini.

Nyimbo hiyo inahusu mapenzi ambapo alipewa kidogo na baadaye anajaribu kuomba apewe tena kwa mara nyingine, yaani ampe tena usiku mwingine ‘One More Night’.

Tazama video hapa;

Leave your comment

Top stories