NEW SONG (TANZANIA) – Jux- One More Nite
7 December 2015

Msanii Juma Jux ameachia wimbo mpya unaitwa ‘One More Nite’. Producer Nahreel. Wimbo huo umezungumzia suala zima la mapenzi.
Huu ni kati ya mstari unaopatikana toka kwenye wimbo huo "Bila ya wewe Maisha yangu yakupima, taa yangu itazima, bilionja sijashibanipe tena nitapona #onemorenite!" ambao msanii Jux alishare katika akaunti yake ya instagram.




Leave your comment