EXCLUSIVE (TANZANIA)- Christian Bella na Koffi Olomide wafanya collabo la pamoja.
10 November 2015

Christian Bella ameingia studio na kufanya kolabo na msanii mkongwe wa DRC Congo Koffi Olomide.
Kupitia ukurasa wake wa Istagram Christian Bella ameshare picha akiwa na Koffi na kuandika:Tumemamaliza kurecord audio na Koffi Olomide asante Mungu.




Leave your comment