NEW VIDEO (TANZANIA): Baada Ya 'Sare', Malaika Amekuja Na Kitu Kingine Kipya Kwa Jina, 'Zogo'!

Malaika ni moja ya warembo mastaa wa kike wachache waliobahatika kuziteka headlines za muziki Tanzania kwa mwaka 2015, ukisikiliza ngoma ya ‘Sare‘, Malaika Feat. Mesen Selekta utakubaliana na mimi kwamba 2015 jina lake lilikuwa kwenye list ya wizo mzito pia.

Time ya kitu kipya toka kwake kwa mara nyingine, wasanii wengi walisema wanaweka pause kuachia midundo mpaka Uchaguzi Mkuu upite, Malaika je?

 

 

SIDEBAR 

 EXCLUSIVE (TANZANIA)- Sitarajii kuzaa kwa sasa -Aika

Okay, kwa sababu tuna imani na kazi nzuri za Director Hanscana kwenye video, basi hii pia imetoka kwenye mikono yake Malaika, 'Zogo‘ kwenye video ya dakika tatu tu!

WATCH

https://www.youtube.com/watch?v=goGL64yzbWU

RELATED 

 EXCLUSIVE (TANZANIA)- Kamikaze kuachia album ya rap hivi karibuni

Leave your comment