Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
EXCLUSIVE (TANZANIA)- Sitarajii kuzaa kwa sasa -Aika
9 November 2015

Mwanamuziki wa kundi la Navy Kenzo Aika amesema hana mpango wa kuzaa kwa sasa kwakuwa bado anajipanga na maisha kwanza.
Mwanadada huyo ambaye ni mpenzi wa Producer Nahreel anayeunda kundi la Navy Kenzo.
Aika aliiambia Radio Five ya Arusha “Mtoto sasa hivi nitakuwa namtesa kumleta kwenye haya mazingira na mimi ndio nimeanza kutafuta, kujenga muziki wetu”.
“Ningependa nimlete wakati mambo yangu pia yakiwa yametulia ili aingie kwenye maisha mazuri. Mtoto akikuta maisha mazuri nay eye atjifunza maisha mazuri” aliongeza Aika.
Weekly Top 10 songs
Top stories
- Oyo Oyo oyaa
10 September
- Market Trend On FootWear Major Industry
11 September
- RMG Trade on GOLD
11 September





Leave your comment