EXCLUSIVE (TANZANIA): Faiza Kathibitisha Bado Anampenda Joseph Mbilinyi ‘Sugu’

Aliyekuwa mpenzi wa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph ‘Sugu’ Mbilinyi, Faiza Ally ameamua kuweka wazi kuwa japokuwa wamegombana na mzazi mwenzake lakini bado anampenda na kumthamini.

Kupitia kwenye akaunti yake wa instagram amepost picha ya Sugu na kuandika>>Alie kwambia simpendi nani ???? Nampenda ndio maana nili zaa nae

Leave your comment