EXCLUSIVE (TANZANIA) - Rapper Songa afiwa na Baba yake mzazi

<p style="text-align: justify;"><img src="/media/articles/1446018058_1987_b.jpg" alt="" /></p>
<p style="text-align: justify;">&nbsp;</p>
<p style="text-align: justify;">Rapper Songa afiwa na Baba yake mzazi mchana wa jana tarehe 27/10, msanii huyo alipost Twitter na kuandika &ldquo;Nimepata taarifa za kusikitisha sana leo mchana. Baba yangu mzazi amefariki, naomba Mungu amlaze pema, shukrani kwa wote wanaoendelea kunipa pole&rdquo;. Pole kwake na familia nzima Mungu awape faraja kwa kipindi hichi kigumu.</p>

Leave your comment