WOMAN CRUSH WEDNESDAY : Sauti, Sura Na Akili; Kweli Huyu Mwimbaji Wa Arusha Feza, Ana Yote!

WCW leo inaenda kwa Fezza Kessy, mwanadada ambaye anaetokea Arusha Tz, ni mwanamuziki na mama wa mtoto mmoja. Feza Kessy aliwahi kushiriki BBA katika msimu wa 8 wa shindano hilo, baada ya shindano hilo aliendelea na career yake ya muziki na anatamba na vibao kama Sanuka uliotoka hivi karibuni akimshirikisha Chege Chigunda, pia Amani ya moyo na My papa.

Kuendeleza career yake pamoja na ulezi ni vitu ambavyo vinaweza kuleta muingiliano but still she is doing good in the industry. Big Up and keep shining.

Leave your comment