EXCLUSIVE (TANZANIA) – Mabeste na mpenzi wake kuchora tattoo za majina yao
20 October 2015

Rapper Mabeste na mpenzi wake Lisa Fickensher waamua kuchora tattoo za majina yao. Wawili hao wamechora kila mmoja jina la mwenzie ili kuonyesha jinsi gani wanapendana.
Katika mtandao wa istagram Lisa ameweka picha ya tattoo yake na kuandika “What else do I need in this life?? Thanks Bae!! I Love You Every Second Of My Life Mabeste! I Thought Its a Joke”
Pia Mabeste aliweka picha ya tattoo ya jina la mtoto wake wa pekee Kendrick na kuandika Mornie guys @Kendrick_Mabeste, tattoo nimemchora my Son Kendrick coz ana history kubwa sana katika maisha yangu mpaka kuzaliwa kwake! Hadi leo hii!! Ni safari ambayo sitakuja kuisahau kamwe katika maisha yangu na Wife wangu.




Leave your comment