NEW VIDEO (TZ): Video Ya Wimbo Wa “L” Wa Nuru The Light Kutoka

Diva wa muziki Tanzania Nuru The Light ametoa video ya wimbo wake mpya uendao kwa jina la “L”, video hiyo imefanyika Jijini Dar es salaam na muandaaji wa video Bw. Adam Juma aka AJ. Wimbo huu ulitayarishwa huko Sweden katika studio za Joevibes Productions. Mwanadada huyo ambae alikaa kimya kwa muda mrefu na sasa amerudi tena, hapo nyuma alitamba na vibao kama Muhogo andazi, Msela na nyingine nyingi.

WATCH

https://www.youtube.com/watch?v=TBFjdUiMF-g

RELATED

 EXCLUSIVE (TANZANIA): Mchezaji Wa NBA Hasheem Thabeet, Ana Haya Ya Kusema Kuhusu Tuzo Za AFRIMMA!

Leave your comment