Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
EXCLUSIVE (TANZANIA): Mchezaji Wa NBA Hasheem Thabeet, Ana Haya Ya Kusema Kuhusu Tuzo Za AFRIMMA!
14 October 2015

Mchezaji wa NBA Hasheem Thabeet alikua mmoja wa Watanzania waliohudhuria tuzo za AFRIMMA, Dallas Marekani. Anasema kama Mtanzania aliguswa kwenda kuwasapoti wenzake, amefurahi sana kuona Watanzania wameweza kuiwakilisha nchi yao vizuri, ameseama muziki wa Tanzania unazidi kukua na anaamini mwakani watapata tuzo 10.
RELATED
EXCLUSIVE (TZ): Vanessa Mdee ana haya majibu kwenye sentensi tano kuhusu ujio wa mdundo wake mpya, 'Never Ever'
Weekly Top 10 songs
Top stories
- NEW COLLABORATION UNLOCKED
01 July
- WASH AWAY ALL MY SIN
30 June
- 10000
30 June




Leave your comment