EXCLUSIVE (TANZANIA): Dizasta Kuja Na Kibao Kipya Hivi Karibuni

Baada ya kutoa single kali wiki mbili zilizopita msanii Dizasta amesema kuwa hivi karibuni anatarajia kutoa wimbo mwingine mpya. Wimbo huo unaenda kwa jina la 'MI-NDO' akiwa ameshirikiana na P The Mc pamoja na Ghetto Ambassador.

TUZO ZA AFRIMMA: Baada Ya Tuzo Haya Ndio Waliyoyasema Washindi

Akiongea na Mdundo, amesema nyimbo hiyo itatoka jumapili ya wiki hii na pia ameweza kuwaupdate fans wote wa muziki katika mitandao ya kijamii kama Instagram na Facebook kuhusu ujio wa single hiyo.

RELATED

 WIMBO MPYA (TANZANIA): Audio Ya “Never Ever” Ya Vanessa Mdee Aka VeeMoney Kutoka!

Leave your comment