WIMBO MPYA (TANZANIA): Audio Ya “Never Ever” Ya Vanessa Mdee Aka VeeMoney Kutoka!

Msanii VeeMoney baada ya kuzindua video yake ya “Never Ever” wiki ilyopita, hatimaye kuachia audio ya wimbo huo. Fans wa msanii huyo wamesema kuwa amefanya vizuri katika upande wa video lakini katika mistar haikukaa vizur sana lakini bado wanampongeza kwa kazi zake nzuri.

RELATED

 EXCLUSIVE (TZ): Vanessa Mdee ana haya majibu kwenye sentensi tano kuhusu ujio wa mdundo wake mpya, ‪'‎Never Ever'

Leave your comment

Top stories