COLLABO YA SIKU(TANZANIA) - Kionjo cha wimbo mpya wa Ali Kiba ft Christian Bella

Wakali wa muziki Tanzania wametoa kionjo cha wimbo wao mpya utakao toka hivi karibuni, unaotambulika kwa jina la Nagharamia. Hongera kwao kwa kushirikiana vema katika kuleta muziki mzuri, pamoja na kuitambulisha nyimbo yao hiyo katika mitandao ya kijamii na kuwafanya fans wao kujua ujio wa wimbo huo unaokuja hivi karibuni.  - Muziki Tanzania, Muziki mzuri, East African Music .

From www.Bongo5.com

Leave your comment