New Project From To Mdantown It's Coming Soon...

Mwandishi:

@Kyela Magazine

Emcee Wa HipHop Kutokea Kyela Mbeya Tanzania Anatarajia Kuja Na Ujio Mpya Baada Kukaa Kimya Kwa Kipindi Kirefu
Amesema Hayo Katika Mahojiano Ambayo Tunalifanya Nae Kupitia Page Yetu Ya Kyela Magazine

"Mdantown"

Natarajia Kuja Na Ujio Mpya Bada Ya Kuwa Kimya Kwa Mda Mrefu Kama Mwaka Mmoja Sijaachia Project Yoyote
Maana Maisha Nayo Yanafanya Tuwe Bize Kwenye Kutafuta Pesa "Yes" Kama Unavyojua Lakini Tunakomaa Kibishi Hvyo Hvyo
"Cause" Sina Management Ya Kuni Simamia
Ndo Maana Tunakuwa Kimya Mda Mwingi..
"But This Time" Nime Jipanga Vizuri
Kikubwa Ni Sapoti Yenu Tuu Kuni Sapoti Maana Bila Sapoti Yenu Mdantown Si Kitu
Follow Me At:
@Facebook
@Instagram
As A Mdantown
Powered By:
#KyelaMagazine

Leave your comment