G clash Atangaza Kuacha Mziki

Raper Kutokea Kyela Mbeya Tanzania Gwamaka Japhet Maarufu Kama @G Clash Kutokea Kundi La @Watunyomi. Atangaza Rasmi Tarehe 20-10-2024 Kuachana Na Harakati Za Mziki Amethibitisha Hayo Leo Jumapili Kupitia Kyela Magazine
Raper Huyo Kutokea Kyela Mbeya Alie Shiriki Katika Kyela Cypher Track Ambayo Ilifanya Vizuri Kwenye Zile Chat Za HipHop Kutokea Nyanda Za Juu Kusini Project Ambayo Ilianzishwa Na Emcee Machachali Kutokea Mbeya @Nala Mzalendo.
G Clash Amesema Ameacha Mziki Mazima Na Atojihusisha Tena Na Mziki Kwa Sababu Mziki Unaitaji Pesa Hvyo Yeye Ana Pesa Ya Kuendesha Mziki..
Powered By:
Kyela Magazine

Leave your comment