Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
Rasmi, Jay Melody Aachia Albamu Yake Ya Kwanza Ya Kuitwa "Therapy"
26 April 2024

Image Source: Online
Writer: Charles Maganga
Baada ya kuidokeza kwa muda mrefu, hatimaye Jay Melody ameachia albamu yake ya kwanza ya kuitwa "Therapy"
"Therapy" ni albamu iliyoshehheni ngoma 12 ambapo kati ya hizo ni ngoma mbili tu ambazo Jay Melody ameshirikisha wasanii wengine, Phina akiwa mmoja wao.
Kwenye albamu yake ya "Therapy" Jay Melody kwa kiasi kikubwa ameimba kuhusu mapenzi. Kupitia ngoma kama "Nahodha" "Wa Peke Yangu" na nyinginezo Jay Melody anafurahi na kusimulia hadithi nzuri za mapenzi.
"Therapy" ni albamu ya kwanza kwa Jay Melody tangu aanze muziki na inatarajiwa kufanya vizuri ndani na nje ya Tanzania
Weekly Top 10 songs

Black Mark utandilubi omwami wangu5:21
Tu party ft Venti2:44
KAPEKE LONDON2:23
CHAMPION GAL3:00
Anaconda2:58
Awake, My Soul2:56
Am A African3:11
Know Better3:34
I DEDICATE MY LIFE TO YOU5:57
GO GO!2:04


Leave your comment