Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
Cassper Nyovest, Diamond Platnumz, Jaivah Na Rayvanny Watarajiwa Kutumbuiza Jijini Dar Es Salaam Wikiendi Hii
24 April 2024

Image Source: Online
Writer: Charles Maganga
Msanii kutokea Afrika Kusini, Casper Nyovest anatarajiwa kutua jijini Dar Es Salaam Wikiendi hii kwa ajili ya kutoa burudani kali kwa mashabiki wa muziki.
Casper anatarajiwa kutumbuiza kwenye tamasha la "Bites Vibes" kuanzia ambalo litafanyika kati ya Tarehe 26 na 27 mwezi huu.
Casper atatumbuiza na wasanii wengine wakubwa kama Diamond Platnumz, Rayvanny, Abigail Chams, Jaivah, Billnass na Darassa
Tamasha hilo la kihistoria linatarajiwa kufanyika ndani ya siku mbili kwenye viwanja vya posta jijini Dar Es Salaam.
Weekly Top 10 songs

Black Mark utandilubi omwami wangu5:21
Tu party ft Venti2:44
KAPEKE LONDON2:23
CHAMPION GAL3:00
Anaconda2:58
Awake, My Soul2:56
Am A African3:11
Know Better3:34
I DEDICATE MY LIFE TO YOU5:57
GO GO!2:04


Leave your comment