Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
Mocco Genius Akutana Tena Na Ali Kiba Kwenye "Mchuchu"
18 April 2024

Image Source: Online
Writer: Charles Maganga
Kama uliipenda combo ya Mocco Genius na Ali Kiba basi habari njema ni kwamba wasanii hao wawili wamerudi tena na ngoma nyingine ya kuitwa "Mchuchu"
Kabla ya ngoma hii Mocco Genius na Ali Kiba walikutana kwenye "Napendwa II" ngoma ambayo iliingia sokoni Agosti ya mwaka 2022.
Kwenye "Mchuchu" Mocco Genius na Ali Kiba wanatumia vionjo vya Bongo Fleva kumsifia na kutoa heko kwa binti ambaye wako naye kwenye mahusiano.
"Mchuchu" ni ngoma ya pili kutoka kwa Mocco Genius kwa mwaka huu na inatarajiwa kufanya vizuri ndani na nje ya Tanzania
Weekly Top 10 songs
Top stories
- Diso Ziod
21 April
- Lesson
20 April
- Drop new song loyo
21 April




Leave your comment