Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
"Next Level Imenirudisha Nyuma Kimuziki" - Bando MC
27 March 2024

Image Source: Online
Writer: Charles Maganga
Msanii na rapa anayefanya vizuri kwenhe kiwanda cha muziki Tanzania, Bando MC hivi karibuni alifunguka jinsi ambavyo Next Level Music, lebo inayomilikwa na Rayvanny ilivyomrudisha nyuma kimuziki.
Bando ambaye alianza muziki mwaka 2019 alidai kuwa Next Level Music imechangia kwa kiasi kikubwa kumrudisha nyuma kimuziki kwani alifikia hatua ya kusaini mkataba na alisubiri zaidi ya mwaka na nusu lakini hakuna kilichofanyika.
Bando aliongeza kwa kusema "Mimi nimekaa pale Next level zaidi ya mwaka mmoja na nusu, Mimi nimetoka pale mwaka 2022 Broo alikuwa mtu wangu wa karibu kabla ya kuanzisha hiyo lebo nilikutana nae IG aliniambia inabidi tufanye kazi na alinikuta tayari nimeshafika sehemu"
Weekly Top 10 songs
Top stories
- RMG Trade on GOLD
11 September
- Market Trend On FootWear Major Industry
11 September
- Fwaka
12 September





Leave your comment